MJUMBE MKUTANO MKUU TAIFA SANGO GUNGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA RORYA

 

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa, Sango Gungu amechukua fomu kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Ubungo Jimbo la Rorya mkoani Mara leo, Juni 30, 2025. Amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wikaya ya Rorya, Hassan Ntalika

Related Posts