Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy
  • Home
  • 2025
  • June
  • 30
  • MTANZANIA WA DIASPORA ABDALLAH NYALIGWA ACHUKUA FOMU UBUNGE ITWANGI
Habari

MTANZANIA WA DIASPORA ABDALLAH NYALIGWA ACHUKUA FOMU UBUNGE ITWANGI

June 30, 2025 Admin
19

 

Mtanzania anayeishi Uingereza, Abdallah Nyaligwa, leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limegawanywa kutoka Jimbo la Solwa.

Nyaligwa mzaliwa wa Itwangi kutoka familia ya Chief Kaswende Shikira anakuja kuwania nafasi hii akiwa na kumbukumbu ya heshima na urithi wa familia yake, kwani ni mjukuu wa marehemu Chief Abdalla Fundikira, kiongozi mashuhuri na shujaa wa siasa, ambaye alijitolea kwa ustawi wa jamii na taifa.

Related Posts

Habari

TPDC YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 49 YA SABASABA, YASHINDA TUZO YA MAZINGIRA

July 7, 2025 Admin
Habari

St Anne Marie Academy yaibuka kidedea tena kidato cha sita

July 7, 2025 Admin

Post navigation

Previous: Prisons yagoma kushuka, yaichongea Fountain Gate
Next: Chaumma yapuliza kipyenga ubunge na udiwani, urais ngoma nzito

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.