Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy
  • Home
  • 2025
  • June
  • 30
  • RUHORO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NGARA 2025-2030
Habari

RUHORO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA NGARA 2025-2030

June 30, 2025 Admin
16

 

Mbunge wa jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amechukua fomu ya maombi ya kugombea tena nafasi ya ubunge kwa kipindi kingine cha 2025/30 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Fomu hiyo ameichukua leo Juni 30 2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM Ngara Mkoani Kagera. 

 Hata hivyo vyombo vya habari vilivyokuwepo katika eneo la tukio walipotaka mahojiano hakuwa tayari kuzungumzia chochote zaidi alisema wakati ukifika atazungumza.

Ikumbukwe kuwa Mheshimiwa Ruhoro ni miongoni mwa viongozi wenye ushawishi mkubwa  kwa wananchi wa jimbo lake kwani wananchi hao wamekuwa wakimchangia fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea tena katika kipindi kingine 2025-2030.

Related Posts

Habari

TPDC YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 49 YA SABASABA, YASHINDA TUZO YA MAZINGIRA

July 7, 2025 Admin
Habari

St Anne Marie Academy yaibuka kidedea tena kidato cha sita

July 7, 2025 Admin

Post navigation

Previous: Wanaodaiwa kuendesha biashara ya upatu waendelea kusota rumande
Next: Yanga yatumia wimbo wa Ali Kiba kuikebehi Simba 

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.