
Nasser amtisha mtetezi Mbio za Rwanda
MTANZANIA Yassin Nasser ambaye yuko mbele ya bingwa mtetezi Karan Patel wa Kenya kwa pointi 28, anaanza kuliona taji la ubingwa wa Afrika, na azma hii itaamuliwa katika raundi ya tatu ya mbio za magari ubingwa wa Afrika nchini Rwanda mwishoni mwa juma hili. Rwanda Mountain Gorilla ndiyo jina rasmi la raundi hii ambayo Mtanzania…