SIMBACHAWENE AIPA TANO TUME YA MADINI

-Ampongeza Waziri Mavunde kwa Kupandisha Maduhuli ya Serikali na Kutoa Ajira kwa Vijana 📍DODOMA, Juni 17, 2025 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene ameipongeza Tume ya Madini kwa kazi kubwa na yenye matokeo chanya katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali na kuchochea maendeleo ya…

Read More

Wazazi walaumiwa kuwafelisha wanafunzi kipindi cha mitihani

Dodoma. Katibu Tawala Wilaya ya Bahi, jijini Dodoma,  Mwanamvua Bakari amewataka wazazi kuacha mara moja tabia ya kuwapotosha watoto  katika kipindi cha mitihani kwa kuwashawishi wasijibu vizuri maswali ili wafeli kisha waende mijini wakafanye kazi za ndani. Mwanamvua ametoa kauli hiyo leo Jumanne Juni 17,2025 alipotembelea Shule ya Msingi Chiboli iliyomo wilayani humo. Amesema wazazi…

Read More

Miili ya wanandoa ilivyoagwa Dar, kuzikwa kesho Mwanga

Dar es Salaam. Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kushiriki safari ya mwisho hapa duniani ya wanandoa Antony Ngaboli (46) na Anna Amiri (39) katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Yohana Mbatizaji Bonyokwa, jijini Dar es Salaam. Wanandoa hao walikutwa wamefariki dunia usiku wa kuamkia Juni 12, 2025 chumbani mwao Tabata Bonyokwa Gk, Wilaya ya Ilala, Dar es…

Read More

PURA kuhakikisha upatikanaji wa gesi asilia nchini

Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema inatekeleza mikakati mbalimbali yenye lengo la kuhakikisha upatikanaji wa gesi asilia nchini kwa matumizi mbalimbali. Hayo yamebainishwa Juni 17, 2025 na Mkuu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa Wazawa na Uhusishwaji wa Wadau kutoka PURA, Bw. Charles Nyangi wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa…

Read More