Aliyetaka kuwania Urais kupitia TLP atimkia ADC
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Wilson Elias, baada ya kutaka kukatishwa ndoto yake ya kuwania Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu kwa tiketi ya Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), hatimaye ameibukia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kusaka nafasi hiyo. Mei 26, 2025 Wilson alijikuta nje ya mashindano baada kushika…