WAZIRI MAVUNDE ATAKA WATANZANIA KUPEWA KIPAUMBELE KUSAMBAZA BIDHAA NA HUDUMA MIGODINI

▪️Aelekeza mabadiliko ya Kanuni ili kuruhusu uhaulishwaji teknolojia kwa Kampuni za Kigeni ▪️Ataka Watanzania kuchangamkia Trilioni 5.3 za usambazaji bidhaa na utoaji huduma ▪️Rais Samia apongezwa kwa uongozi wa maono ▪️Watanzania 19,371 wanufaika na ajira rasmi ▪️Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara kwa ukuaji wa sekta Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Tume ya Madini…

Read More

Majaliwa azindua chaneli yenye maudhui ya kitaaluma

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua chaneli ya kwanza nchini (Somakwanza Tv) yenye maudhui ya kitaaluma, itakayorusha vipindi vya elimu kuanzia ngazi ya awali, msingi hadi sekondari kwa saa 24 bila kukatika. Chaneli hiyo, inayosimamiwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), itakuwa na vipindi vya masomo mbalimbali kwa ngazi zote za elimu, ikilenga…

Read More

Sababu bima ya vyombo vya moto kuongoza, afya bado

Dar es Salaam. Sekta ya bima nchini inaendelea kushuhudia ukuaji mwaka hadi mwaka, huku bima ya vyombo vya moto ikiongoza kwa kuingiza mapato makubwa, ikifuatiwa na ya maisha, wakati ya afya ikishika nafasi ya tatu kwa mchango wake katika sekta hiyo. Wadau wa sekta ya bima wanasema bima ya vyombo vya moto inaongoza kutokana na…

Read More

Simbachawene asisitiza mfumo wa Tehama taasisi zisomane

Dodoma. Serikali imewataka wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kutumia ujuzi wao kuunganisha mifumo ya utoaji huduma, ikisisitiza kuwa huo ndio mwelekeo sahihi kwa sasa katika kuboresha utendaji na utoaji huduma kwa Watanzania. Agizo hilo limetolewa leo Jumanne, Juni 17, 2025, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala…

Read More

‘Akili Mnemba haikwepeki hatuna budi kuishi nayo’

Dar es Salaam. Matumizi ya Akili Mnemba (AI) yametajwa kutokwepeka katika elimu, afya, uchumi hata uvumbuzi hivyo imepaswa kuitumia teknolojia hiyo iliyoshika kasi ili kukuza maendeleo ya Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla. Akili Mnemba ni teknolojia inayowezesha kompyuta na mashine kuiga uwezo wa binadamu kama vile kujifunza, kufikiri, kufanya uamuzi na kuwa na…

Read More

Lugangira ataka Serikali kupunguza matumizi ambayo sio ya lazima

MBUNGE wa Viti Maalum,Neema Lugangira ameshauri Serikali ipunguze gharama ambazo zisizo za lazima katika bajeti yake. Ushauri huo ameutoa leo Juni 17,2025,bungeni wakati alichangia mjadala wa bajeti Kuu ya Serikali. “Nashauri serikali ione namna ya kufanya tathmini ya gharama zake zote ili iweze kuondoa gharama ambazo sio za lazima,”amesema na kuongeza “Spika alishawahi kunisemea bungeni…

Read More

SHIRIKA LA ROOM TO READ LAUNGANA NA SERIKALI LATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI 679 PWANI STADI ZA MAISHA

NA VICTOR MASANGU,KIBAHA  SHIRIKA lisilokuwa la kiseriki  la Room to Read katika kuunga juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuboresha sekta ya elimu limewafikia na kuwapatia mafunzo ya stadi za maisha na malezi wanafunzi  wa kike wapatao 679  kutoka Mkoa wa Pwani. Aidha shirika hilo  limeishukuru kwa dhati  serikali  kwa ushirikiano ambao umefanikisha…

Read More