Waziri Simbachawene Avutiwa na Huduma za NMB Katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Dodoma, Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, ametembelea banda la Benki ya NMB katika ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika Jijini Dodoma. Katika ziara hiyo, Mhe. Simbachawene alipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Biashara ya Serikali wa…