WAZIRI SIMBACHAWENE AIPONGEZA TAA KWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, ameipongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kwa namna inavyotekeleza majukumu yake kwa weledi na mchango wake katika kukuza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini. Pongezi hizo zilitolewa na Waziri Simbachawene alipotembelea banda la…