Mwanafunzi wa Must mbaroni, mauaji ya mwenzake wakiwa ‘Club’
Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must), mwaka wa kwanza, Emilia Joseph (21) kwa tuhuma za mauaji ya mwenzake wakiwa kwenye ‘Club’ ya Mbeya Pazuri jijini humo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amedai kuwa mtuhumiwa alifanya mauaji ya mwenzake wa mwaka wa…