Kutoka kwa Ulinzi wa Injini hadi Kuwainua Watu, Safari ya Makusudi ya Vivo Energy Kupitia Kampeni ya “Uliza Oili ya Shell”

VIVO Energy Tanzania, kampuni inayosambaza na kuuza mafuta na vilainishi vya chapa ya Shell, inajivunia kutangaza uzinduzi wa kampeni yake iitwayo “Uliza Oili ya Shell.” Hii ni harakati thabiti na ya kina inayolenga kuwaelimisha na kuwawezesha madereva wa Tanzania kufanya maamuzi sahihi kuhusu vilainishi wanavyotumia—ikichochea ulinzi wa injini na pia maendeleo ya kijamii. Kampeni hii…

Read More

OKTOBA KURA ZOTE KWA RAIS DK. SAMIA

……………. Na Mwandishi Wetu, TANGA Kazi nzuri na miradi tele ya maendeleo iliyotekelezwa katika Jimbo la Tanga Mjini imetengeneza deni kwa wananchi wa Tanga Mjini dhidi ya Rais Dk. Samia Suluhu ambaye pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba,…

Read More

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KILELE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TET

………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam. kaulimbiu ya maadhimisho ni _Kitabu Kimoja Mwanafunzi Mmoja, Mpe Kitabu Gusa Ndoto_ .Kaulimbiu hiyo inaunga mkono…

Read More

Huyu ndiye Dk Delilah Kimambo, Mkurugenzi mpya wa Muhimbili

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya  uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwemo Dk Delilah Kimambo kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Mwananchi imekusogezea wasifu wake. Dk Kimambo anachukua nafasi Profesa Mohammed Janabi ambaye alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Mei 18…

Read More

Mpina amwambia Rais Samia jimboni kwake bado wanamdai

Dar es Salaam. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa. Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, ikiwa ni sehemu ya…

Read More