Likizo za madaktari, wauguzi wote zafutwa Iran
Tehran, Iran. Wakati mapigano kati ya Iran na Israel yakizidi kushika kasi, taarifa kutoka Iran na Gaza zimezua hofu mpya kuhusu hali ya kibinadamu na usalama wa kikanda. Iran imeamua kuwaita kazini madaktari na wauguzi wote waliokuwa likizo, huku ikiendelea na mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi ya Israel. Wakati huohuo, Gaza imeshuhudia kile kinachoelezwa kuwa…