Israel yashambulia zaidi Tehran, Trump aonya
Tehran. Israel inaonekana kupanua zaidi mashambulizi yake ya angani dhidi ya Tehran siku tano baada ya shambulio la ghafla dhidi ya majeshi na miundombinu ya nyuklia ya Iran, huku Rais wa Marekani, Donald Trump, akiandika ujumbe mzito akiwataka wakazi wa jiji hilo kuhama mara moja. “Iran haiwezi kumiliki silaha ya nyuklia,” Trump aliandika jana usiku…