Takwimu ya watalii wanaofika nchini yapaa

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema idadi ya watalii wa kimataifa wanaofika nchini imeongezeka kwa asilimia 132.1. Ongezeko hilo ni kutoka watalii 922,692 mwaka 2021 hadi kufikia watalii milioni 2.41 mwaka 2025 huku idadi ya watalii wa ndani nao wakiongezeka kwa asilimia 307.9 kutoka watalii  watalii 788,933 mwaka 2021 hadi kufikia watalii milioni…

Read More

Wengi huoa, kuolewa nje ya machaguo yao

Zungumza na wanandoa kadhaa uwaulize ikiwa wenza wao walikuwa machaguo ya kwanza maishani au la. Jibu linaweza kukushangaza. Uzoefu unaonyesha watu wengi huingia katika uhusiano wa kindoa kwa vile hawana namna,  baadhi wakichelea umri kusonga au kwa presha za ndugu na jamaa. Hawa hujikuta wakiingia kwenye uhusiano na yeyote yule. …

Read More

Mwenza wako ana gubu, mpenda lawama?

Maisha ya uhusiano yanahitaji uvumilivu, uelewa na mawasiliano ya wazi ili yadumu.  Hata hivyo, kuna changamoto zinazojitokeza, mojawapo ikiwa ni kuwa na mwenza au mpenzi anayelalamika sana na mwenye gubu. Kila unalomfanyia haoni dhamira ndani yake. Ni mtu wa madai na lawama zisizo na ukomo. …

Read More

Ifanye ndoa yako kuwa sehemu ya uchumi

Dar es Salaam. Ndoa kwa kawaida imekuwa ikitazamwa kama muungano wa kihisia, kijamii, na kidini unaofungamana na upendo, uaminifu na wajibu wa ndoa. Hata hivyo, katika nyanja ya uchumi wa familia, ndoa pia hutambuliwa kama mkataba wa kiuchumi baina ya watu wawili wanaoungana si tu kwa mapenzi bali pia kwa lengo la kushirikiana katika kugawana…

Read More

Mbinu kumuandaa mtoto wa kiume kuwa baba mwema

Dar es Salaam. Malezi bora ni msingi wa familia bora. Mara nyingi tumekuwa tukizungumza kuhusu nafasi ya mzazi kumlea mtoto wa kike, lakini nafasi ya kumsaidia mtoto wa kiume aje kuwa baba bora, imekuwa ikipuuzwa au kutozungumziwa kwa mapana. Hata hivyo, mzazi anapaswa kutambua kwamba kumlea mwanaume ni zaidi ya kumfundisha elimu au kumkadiria anachokipata…

Read More