Super Heli Kuambatana na Samsung A25

HABARI nzuri kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni. Meridianbet inawapa nafasi ya kipekee ya kushika simu mpya ya Samsung A25 kwa kuingia kwenye mchezo maarufu sana wa Super Heli, ambao umejaa msisimko na ushindi wa haraka. Mchezo huu ni wa roketi inayopaa angani, na wewe unakuwa rubani wa ushindi wako. Jisajili na Meridianbet sasa…

Read More

MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA JUMUIYA YA TATHIMINI AFRIKA ( AfrEA ) WAFANYIKA ADDIS ABABA-ETHIOPIA

Na Mwandishi Wetu – Addis Ababa, Ethiopia TANZANIA imeshiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya Tathmini Afrika (AfrEA) yanayofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 16 hadi 18 Juni, 2025, katika Kituo cha Mikutano cha Umoja wa Mataifa (UNECA), jijini Addis Ababa, Ethiopia. Ujumbe wa Tanzania umeongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini,…

Read More

RAIS SAMIA ATEMBELEA MRADI WA REA SIMIYU

…………. Rais wa Samia Suluhu Hassan ametembelea mradi wa nishati safi ya kupikia wa shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo. Rais Samia ambaye yuko mikoani Simiyu, ameoewa maelezo na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga wakati akifungua shule hiyo Jumanne Juni 16, 2025. Mradi huo unahusisha usimikaji wa mfumo wa kupikia…

Read More

Serikali Yasisitiza Umuhimu wa Asilimia 30 kwa Makundi Maalum Katika Zabuni za Ununuzi wa Umma

Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) ameshiriki na kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya PPRA lililolenga kujadili Ununuzi wa umma na Ukuzaji wa kampuni za wazawa na makundi maalum kwa ukuaji wa Uchumi Jumuishi katika zama hizi za mabadiliko ya teknolojia/ Kidigitali lililofanyika Jijini…

Read More

Kiswahili kinavyochanja mbuga Misri | Mwananchi

Wamisri wamedhihirisha kuwa Kiswahili kinakubalika na kwamba kinaweza kupenya kila kona ya dunia. Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ain Shams, wamebuni tamthilia ya kwanza inayotumia  Kiswahili, ikiwa ni sehemu ya kuipaisha lugha hiyo inayokua kwa kasi duniani. Tamthiliya hiyo, iliyopewa jina la Ndoto Bandia, ina vipindi vinne na imeongozwa na mhadhiri na mtalaam…

Read More

Wasira- CCM ipo tayari kukosolewa lakini…

Mbogwe. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kipo tayari kukosolewa kinapokiuka kanuni za utawala bora huku kikionya wakosoaji kutotumia njia za kuondoa amani na umoja miongoni mwa wananchi. Kauli hiyo ya CCM imetolewa leo Juni 16, 2025 na Makamu wake Mwenyekiti Bara, Stephen Wasira alipozungumza na wananchi na viongozi wa CCM Jimbo la Mbogwe mkoani Geita…

Read More

Bwenzi aitosa Coastal atimkia Mashujaa

MAAFANDE wa Mashujaa wameshinda vita ya kuwania saini ya kiungo mshambuliaji wa KenGold,  Selemani Rashid ‘Bwenzi’ aliyekuwa akiwindwa na Coastal Union, JKT Tanzania na Tabora United. Mashujaa iliyo na mechi mbili kabla ya kufunga msimu wa 2024-2025, imeanza kusaka nyota wapya kwa ajili ya kujipanga kwa msimu ujao, na inaelezwa imeshamalizana na Bwenzi baada ya…

Read More

Kipa KenGold: Mpanzu? Tunajuana huko huko!

KIPA wa KenGold, Castor Mhagama amesema mechi ya kesho ya kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba itakayopigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora anatarajia itakuwa ngumu kwao kutokana na kutofanya maandalizi ya kutosha, lakini watapambana. Mhagama ameliambia Mwanaspoti kwamba, anajua Simba itakuwa na uchu mkubwa wa kupata ushindi ili kujiweka…

Read More