Yanga yategwa dili la winga Mrundi
KIKOSI cha Yanga kimesafiri kwenda Mbeya kuwahi pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons, huku mabosi wa klabu hiyo wakikuna vichwa kutoka na mtego waliowekewa juu ya kumnasa winga machachari Mnyarwanda anayekipiga Al Hilal ya Sudan. Yanga inayoongoza msimamo wa Ligi ikiwa na pointi 73 baada ya kucheza mechi 28 ikiwa ni moja…