Hii hapa misingi ya elimu iliyo bora
Arusha. Mara kadhaa wasomaji wengine wamenipigia simu na kuniuliza maswali kama: Nini maana ya elimu? Kuna tofauti gani kati ya maarifa, elimu na busara? Mwingine akauliza: ni vipi vianzo vya elimu? Haya pamoja na mengine kama hayo ni maswali mazuri. Inaonyesha kwamba wapo wasomaji wanaotafakari vizuri na walio na mawazo mazuri ambayo yananipa nafasi ya…