Wabunge waichambua Bajeti ya Serikali, wang’aka elimu na utafiti
Dodoma. Wabunge wameitaka Serikali kuwekeza katika utafiti, teknolojia na elimu kwani ndiyo njie pekee ya kuwakomboa wananchi kiuchumi. Pia, wameitaka kuweka adhabu kwa raia wa kigeni watakaokiuka masharti ya kanuni zilizowekwa katika shughuli za biashara, ikiwemo kuwafutia vibali vya kazi na viza wanapothibitika. Wabunge wamesema hayo leo Jumatatu, Juni 16, 2025 katika siku ya kwanza…