Global Education Link kusafirisha zaidi ya wanafunzi 200 nje ya nchi
Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya wanafunzi 200 wanatarajiwa kusafiri kwenda masomoni kwenye mataifa mbalimbali kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 hivi karibuni kuanza pitia uratibu wa Global Education Link (GEL). Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi wa GEL, Abdulmalick Mollel, wakati wa kikao baina ya wanafunzi hao na wazazi wao kuhusu kukamilisha taratibu za…