RAIS SAMIA -WAKULIMA WA PAMBA KAENI MKAO WA KULA

…,……… Na MWANDISHI WETU RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua viwanda viwili  cha Pamba na Mabomba mkoani Simiyu huku akisisitiza kuwa,  Serikali imedhamiria kufanya uwekezaji katika zao hilo na mabadiliko yake yataonekana taratibu kwa kukuza uchumi wa nchi, mkoa na watu. Rais Dkt. Samia amesema hayo katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akizindua viwanda hivyo…

Read More

Kadogoo wa Chadema aibukia kongamano la Chaumma, atoa neno

Dar es Salaam. Siku moja baada ya kujivua uanachama na vyeo vyake, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Sheikh Ally Kadogoo ameibukia katika kongamano la Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Hata hivyo, amekana kujiunga na chama hicho kwa kile alichodai msimamo wake ni kwenda mkoani Tabora kufanya…

Read More

Ligi ya Kikapu Dar mambo ni moto

MECHI saba za mwisho kabla Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam ( BDL) kusimama kupisha michuano ya Taifa Cup, timu zilionyesha ushindani mkali uliyowapa mashabiki burudani katika viwanja vya Don Bosco vilivyopo Upanga, Dar es Salaam. Kwa sasa ligi hiyo imesimama ili kutoa nafasi ya kujiandaa kwa timu za mikoa zinazokwenda kushiriki michuano…

Read More

Wapiga mbizi waikuna BMT | Mwanaspoti

OFISA Michezo wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Charles Maguzu, ameupongeza uongozi Chama Cha Kuogelea Tanzania (TSA) kutumia mashindano kuimarisha ukanda wa CECAFA na kuvitaka vyama vingine vya michezo hapa nchini kuwa na utaratibu wa kualika timu za nchi jirani katika mashindano yao. Maguza ameyasema hayo jana Jumapili alipokuwa anafunga msimu wa mashindano kwa…

Read More

Marefa wa ngumi kupigwa msasa

KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesema itaendelea kutoa kozi ya waamuzi wa mchezo ili kuongeza weledi katika kazi zao. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mwenyekiti wa TPBRC, Emmanuel Saleh alipokuwa anafunga kozi ya mafunzo kwa waamuzi yaliyofanyika jana Fit Poa Gym iliyopo Masaki, Dar es Salaam. Saleh amesema lengo la mafunzo hayo ni…

Read More

KUTOKA SERA HADI VITENDO: SERIKALI ZA MITAA ZAKUMBATIA MALEZI YENYE UWANJILISHI

Denis Mguye, Afisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Arusha na Mratibu wa Malezi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (ECD), ameona mabadiliko makubwa yakichukua nafasi—mabadiliko yanayobadilisha familia na mustakabali wa jamii katika Mkoa wa Arusha. “Wanaume sasa wanasimama bega kwa bega na wake zao kliniki—jambo ambalo halikuwazwa kutokea hata miaka michache iliyopita,” anasema. Ni…

Read More