Mashabiki, Simba, Yanga kuliamsha Kizimkazi Festival
WAKATI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kizimkazi litakalofanyika kwa siku nane kuanzia Julai 19, mashabiki wa timu kongwe za Simba na Yanga watakiwasha kusaka mbabe baina yao ikiwa ni kunogesha tamasha hilo la mwaka 2025. Tamasha hilo litafanyika Mkoa wa Kusini na litfunguliwa na Rais Samia kwenye…