Ndege nyingine ya India yapata hitilafu angani, yashuka kwa dharura
Hong Kong. Shirika la Ndege la India (Air India) limesema ndege yake namba AI315 imelazimika kurejea jijini Hong Kong baada ya kukutana na changamoto ya hali ya hewa isiyo rafiki. Shirika la Habari la Associated Press limeripoti leo Jumatatu Juni 16, 2025, kuwa ndege hiyo aina ya Boeing 787 Dreamliner iliyokuwa ikisafirisha abiria kutoka Hong…