Iran yaishtukiza Israel, idadi waliouawa yashtua
Tehran. Hali bado siyo shwari kwenye mzozo kati ya Israel dhidi ya Iran kutokana na mataifa hayo kushambuliana kwa awamu, huku mamia ya raia wakiuawa. Kwa mujibu wa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei Hamaneh, watu 70 wameuawa katika mashambulizi matatu yaliyotekelezwa na Israel katika kipindi cha saa 24 zilizopita…