
Dakika 60 za hekaheka waumini wa Askofu Gwajima, Polisi
Dar es Salaam. Ni kama kila mmoja kati ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima walikuwa wakisubiri nani aanze. Ndivyo ilivyokuwa leo Jumapili Juni 29, 2025 waumini wa kanisa hilo walipobadili mbinu ya kufanya ibada barabarani kisha…