Saa saba hekaheka polisi, waumini wa Askofu Gwajima, mabomu yakirindima
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitangaza kulifuta Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kando ya nyumba hiyo ya ibada wakitaka kuingia kusali. Uamuzi wa kulifuta kanisa hilo la Askofu Josephat Gwajima, maarufu Kanisa la Ufufuo na Uzima ulitangazwa Juni 2, 2025 na Msajili wa Jumuiya za Kiraia,…