Tarehe kuvunjwa mabaraza ya madiwani hadharani, Mchengerwa atoa maelekezo
Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025. Tangazo hilo amelitoa leo Jumapili, Juni 15, 2025, alipokuwa akitoa tamko rasmi kuhusu tarehe ya kuvunjwa kwa mabaraza hayo pamoja na mikutano ya kamati za…