Shule zimefungwa, kazi kwenu wazazi, walezi
Baada ya muhula wa kwanza wa masomo kufungwa Juni hii, ni dhahiri kuwa watoto wako nyumbani kwa mapumziko ya likizo. Huu ni wakati mwafaka kwa wazazi kuwa karibu nao, kuzungumza nao kuhusu waliyojifunza shuleni na pia kupanga kwa pamoja namna ya kujiandaa kwa muhula wa pili wa mwaka wa masomo 2025. Tunaambiwa kuwa mbali ya…