Kinababa mpo? Malezi si ya kinamama pekee
Dar es Salaam. Ikiwa leo Juni 15, 2025 ni maadhimisho Siku ya Baba duniani, ushiriki wake katika malezi unatajwa kuchochea ustawi bora wa watoto na jamii kwa ujumla. Hata hivyo, katika jamii nyingi za Kiafrika, jukumu la kulea watoto limekuwa likihusishwa zaidi na mama, huku baba akionekana kama mtoaji wa mahitaji ya familia pekee. Kwa…