Kinda la Yanga aondoka na mawili Uganda
KINDA la Yanga U-20 ambaye anaichezea Wakiso Giants ya Uganda kwa mkopo, Isaack Mtengwa amesema kumaliza msimu salama bila majeraha ni jambo jema kwake, akitaja mambo aliyojifunza kwenye ligi hiyo. Huu ni msimu wa kwanza kwa nyota huyo kucheza Ligi Kuu Uganda kwani hapo awali alizichezea timu za vijana za Simba na Yanga na baada…