Watanzania waombwa kuchangia damu kwa hiari
Dar es Salaam. Watanzania wamehamasishwa kuwa na moyo pamoja na utamaduni wa kujitolea damu bila kusubiri siku rasmi za kitaifa ama kimataifa, Ili kuokoa maisha ya Watanzania wenzao wenye uhitaji wa damu hospitalini. Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Kitengo cha Maabara katika Hospitali ya Aga Khan, Dk Caroline Ngimba katika tukio la…