Dk Mwinyi aridhishwa na kazi inayofanywa na makandarasi wazawa

Unguja. Ili kufikia lengo lililokusudiwa la kuanzishwa Taasisi ya Wahandisi, Wasanifu na Wakadiriaji majenzi Zanzibar (IAESZ), Serikali imetoa wito kwa wahandisi kujisajili katika taasisi hiyo ili kuunganisha nguvu za pamoja na kufikiwa na fursa zinapojitokeza. Serikali imesema kuwa tasisi hiyo itawasaidia wazawa na Watanzania katika masuala ya usanifu na ukadiriaji wa miundombinu inayotekelezwa nchini. Hayo…

Read More

Nafuu ya kodi kwenye mitungi ya gesi yawakosha wadau

Dar es Salaam. Pendekezo la Serikali la kuondoa kodi ya ongezeko la thamani kwenye mitungi ya gesi ya kupikia imetajwa kama hatua muhimu katika kuhakikisha Watanzania wengi, hasa wasiokuwa na uwezo mkubwa kiuchumi, wanatumia nishati safi ya kupikia. Juni 12, 2025 akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali ya 2025/2026 Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba alipendekeza kusamehe…

Read More

Mambo matano yaibuliwa uchambuzi wa mapendekezo ya bajeti

Dar es Salaam. Wadau wa uchumi na kodi nchini wamechambua mapendekezo ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 na kupanua wigo pamoja na uwepo ufanisi madhubutu wa usimamizi katika kodi. Mengine waliyoshauri ni bima ya usafiri kwa wageni wanaoingia nchini iangaliwe upya,  mifumo ya utoaji risiti ili kusaidia  usimamizi na kuongeza mapato…

Read More

Rais Samia aeleza sababu kuifungua Dodoma

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja umuhimu wa kujengwa kwa miundombinu ya kisasa katika Jiji la Dodoma, akiwahimiza wananchi kuitumia miundombinu hiyo kuboresha na kukuza shughuli zao za kiuchumi. Ametoa kauli hiyo leo Juni 14, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara jijini Dodoma, baada ya kufanya ukaguzi wa barabara ya Mzunguko wa Nje na Uwanja…

Read More

Msalala: Maambukizi ya Malaria yapungua, sababu zatajwa

Shinyanga. Upuliziaji dawa za kuua mazalia ya mbu umechangia kushuka kwa maambukizi  ya Malaria,  Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama mkoani Shinyanga, kutoka asilimia 34 mwaka 2021 hadi asilimia 15.9 mwaka 2024, ikipungua kwa asilimia 18.1 ndani ya kipindi hicho. Mratibu wa Malaria wa Halmashauri ya Msalala, Dk Martine Mazigwa ametoa takwimu hizo leo Juni 14,…

Read More

Wanandoa waliouawa Bonyokwa kuzikwa, uchunguzi bado

Dar es Salaam. Familia ya wanandoa waliokutwa wamefariki dunia chumbani kwao eneo la Tabata Bonyokwa Gk, wilayani Ilala jijini Dar es Salaam wameruhusiwa na Jeshi la Polisi kuchukua miili ya marehemu hao kwa ajili ya kuendelea na taratibu zingine. Vifo vya wanandoa hao Antony  Ngaboli (46) na Anna Amiri (39) vimetokea usiku wa kuamkia Juni…

Read More

SERIKALI YAWEKA MKAZO UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es salaam Albert Msando akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya mazingira kimkoa ambayo yamefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Makuburi kwenye Wilaya hiyo Leo tar 14/6/2025. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Jaffary Juma Nyaigesha akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya mazingira kimkoa ambayo yamefanyika katika viwanja…

Read More