Vikwazo vitatu mapambano dhidi ya taka Ubungo, Msando atoa maagizo
Dar es Salaam. Taka bado ni mwiba inaoitesa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, huku mambo matatu yakitajwa kuwa vikwazo vya kuzitokomeza. Akizungumza leo Jumamosi Juni 14, 2025, kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira yaliyofanyika kimkoa katika Shule ya Msingi Makuburi, Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafishaji Manispaa ya Ubungo,…