
Haji Mnoga kuanza na Carabao Cup
NYOTA wa Kitanzania, Haji Mnoga na klabu yake ya Salford City wataanza msimu wa 2025/26 kwa kushiriki mashindano ya Carabao Cup yanayotarajiwa kuanza Agosti mwaka huu. Ratiba inaonyesha Salford, ambayo inaanza kwenye raundi ya kwanza ya mashindano hayo makubwa England, itakipiga na Rotherham United Agosti 12. Endapo watafuzu hadi raundi ya pili, huenda wakakutana na…