Bosi ligi ya Rwanda avutiwa na uwekezaji Bara

Mwenyekiti wa Ligi Kuu Rwanda ambaye pia ni mmiliki wa timu ya Gorilla ambayo inashiriki ligi hiyo, Mudaheranwa Hadji Yussuf amevutiwa na uwekezaji ambao umefanywa katika soka la Tanzania ambao unazifanya timu kufanya vizuri kimataifa. Ligi Kuu Bara ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika huku uwekezaji ambao umefanyika kupitia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)…

Read More

MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI YA PICKLEBALL AFRIKA MASHARIKI YARINDIMA TANZANIA

* Washiriki 350 kutoka nchi 16 duniani wachuana* Wachezaji kutoka Tanzania waonyesha ushindani mkubwa KLABU ya Michezo ya Racket Afrika Mashariki (East Africa Racket Sports Club – EARSC) imehitimisha kwa mafanikio mashindano makubwa ya Tanzania Pickleball Open, yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam. Michuano hiyo ya aina yake iliyoshirikisha wachezaji mmoja…

Read More

Fadlu atoa siku mbili Simba

SIKU moja baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutangaza kusogezwa mbele kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, kocha wa Simba, Fadlu Davids ametoa mapumziko ya siku mbili kwa wachezaji wa timu hiyo. TPLB imeahirisha mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara duru la pili kutoka Jumapili Juni 15 hadi…

Read More

Dk Malisa aibukia kwenye mkutano wa Chaumma

Moshi. Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa ameibukia kwenye mkutano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) huku akisema hawezi  kubaki nyuma katika kupigania mdororo wa demokrasia nchini. Dk Malisa alivuliwa uanachama wa CCM, Februari 10,2025  na kugeuka gumzo kwa tuhuma za kukiuka katiba na maadili ya chama hicho taarifa  iliyotolewa…

Read More

JENGO LA TANROADS MAKAO MAKUU DODOMA LAFIKIA ASILIMIA 68

Na Bahati Mollel, DodomaUJENZI wa jengo la ofisi za Makao Makuu ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) linalojengwa maeneo ya Jedengwa jijini Dodoma limefikia asilimia 68 ili kukamilika. Mhandisi Fredy Kambi anayesimamia ujenzi huo, amesema ofisi hizo zitakuwa kwenye maghorofa mawili pacha yenye ghorofa saba kila mmoja, ambazo zitatumika na Kurugenzi na Idara mbalimbali zilizopo…

Read More

Baraza la Usalama linakutana katika kikao cha dharura juu ya mzozo wa Iran na Israeli, huku kukiwa na mgomo na viboreshaji-maswala ya ulimwengu

Baraza lilisafisha ratiba yake ya awali ya kushughulikia mzozo unaoibuka haraka, pia ukisikiliza kutoka kwa mkuu wa mwangalizi wa nyuklia wa kimataifa wa UN, ambaye alionya juu ya hatari kubwa kwa utulivu wa kikanda na usalama wa nyuklia. Mara moja kutoka Alhamisi hadi Ijumaa, Mgomo wa kijeshi wa Israeli ulilenga vifaa vya nyuklia kote Iranpamoja…

Read More