Kiungo KenGold katika rada za Coastal Union
KIUNGO Mkongomani wa KenGold, Kiala Lassa anadaiwa kutimkia Coastal Union ambako amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo. Mchezaji huyo amefunga bao moja kati ya 22 ambayo KenGold imeshinda, huku ikishika nafasi ya mwisho katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi 28 ikishinda tatu, sare saba na kupoteza 18. Akizungumza na Mwanaspoti, mmoja wa…