Singida Black Stars ina saa 48 tu
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema amebakiza siku mbili ikiwa sawa na saa 48 za maandalizi ya mwisho kabla ya kuifuata Dodoma katika pambano la Ligi Kuu Bara, huku akifurahia kufikia malengo ya kuipeleka timu hiyo katika michuano ya kimataifa. Singida imesaliwa na mechi mbili za kufungia msimu ikiwamo ile ya Tanzania…