TLS, mawakili wa Serikali wasaini ushirikiano masuala ya kisheria
Dar es Salaam. Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi amesema Serikali itashirikiana na vyama viwili vya mawakili katika masuala ya kisheria, utatuzi wa migororo, kupeana uzoefu, ujuzi na mafunzo kwa lengo la kusimamia utawala wa sheria na kulinda usalama wa nchi. Dk Possi amesema, Juni 13, 2025 wakati akishuhudia utiani saini makubaliano ya ushirikiano…