WANAWAKE WAJASIRIAMALI WAPIGWA MSASA SHERIA ZA USHINDANI
::::::: Tume ya Ushindani wa Haki (FCC) imeendesha mafunzo maalumu kwa wajasiriamali wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu namna bora ya kulinda biashara zao, kuwahudumia wateja kwa ubora, na kuhimili ushindani katika soko. Akizungumza leo, Juni 13, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Mkurugenzi…