KAMPENI YA PIKA SMART INAYOHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAZINDULIWA

……………………. Kamishna Luoga asisitiza matumizi ya umeme katika Nishati Safi ya Kupikia Kamishina wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amezindua kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme inayokwenda na kaulimbiu ya PIKA SMART. Mha. Luoga amezindua kampeni hiyo leo Juni 13, 2025 jijini Dar es Salaam akimwakilisha…

Read More

Vigogo wa Chadema Dodoma wapandishwa kizimbani

Dodoma. Viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Dodoma Mjini wamefikishwa mahakamani leo na kusomewa shtaka moja la kutishia kufanya fujo. Washtakiwa hao ambao wanawakilishwa na wakili wa kujitegemea, Fred Kalonga ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Stephen Karashan, Katibu wa Chadema Wilaya ya Dodoma mjini, Azizi Abbas na…

Read More

Redio ya Sauti ya Wanawake husaidia vijana wa Afghanistan kurudisha mustakabali wake – maswala ya ulimwengu

Ndani ya studio ya redio ya sauti ya wanawake huko Badakhshan, Afghanistan. Mikopo: Kujifunza pamoja. Kabul Ijumaa, Juni 13, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mwandishi ni mwandishi wa kike wa msingi wa Afghanistan, aliyefundishwa kwa msaada wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua. Utambulisho wake umezuiliwa kwa sababu za usalama KABUL, Jun 13 (IPS)-Mehrangiz ni…

Read More

COSAFA kulindima Hatua ya Nusu Fainali

MICHUANO ya Kombe la COSAFA inaendelea leo kwa hatua ya nusu fainali, ambapo mechi mbili zenye ushindani mkubwa zinatarajiwa kupigwa. Mchezo wa kwanza utaikutanisha Angola dhidi ya Madagascar saa 10:00 jioni, huku Afrika Kusini, ambaye ni mwenyeji wa mashindano haya, akimenyana na Comoro saa 1:00 usiku. Meridianbet imeweka odds kubwa kwa mechi hizi muhimu. Timu…

Read More

Mapya yaibuka vifo vya wanandoa

Dar es Salaam. Simulizi ya kaka wa Antoni Ngaboli (46) ambaye pamoja na mkewe Anna Amiri (39) walibainika kuuawa wakiwa chumbani, nyumbani kwao Bonyokwa GK wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam imeibua mambo mapya. Ngaboli na Anna inadaiwa waliuawa usiku wa kuamkia Juni 12, 2025. “Ilikuwa saa moja asubuhi nilipopokea taarifa kutoka kwa dada yangu…

Read More

MAJALIWA: TUTAENDELEA KUWALINDA NA KUWAPATIA FURSA STAHIKI WATU WENYE ULEMAVU

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inawathamini Watu wenye Ulemavu wakiwemo wenye ualbino na wakati wote itahakikisha inawalinda na kuwapatia fursa stahiki katika ujenzi wa Taifa. Amesema katika kuendelea kutekeleza mpango wa uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa kutumia mikopo inayotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri, hadi kufikia Machi, 2025 tayari shilingi bilioni 5.48 zimetolewa…

Read More

VIJANA FANYENI MAZOEZI MARA KWA MARA KUIMARISHA AFYA

Katika ulimwengu wa leo unaokumbwa na changamoto nyingi za kiafya, viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Lindi wametoa wito maalum kwa vijana na wananchi wote kufanya mazoezi mara kwa mara kama njia ya kuimarisha afya na kuzuia magonjwa yasiyoambukiza. Wito huo umetolewa wakati wa maonyesho ya madini yanayoendelea katika viwanja vya madini wilayani Ruangwa.Katika ulimwengu wa…

Read More