Kampuni yaandaa maonyesho ya watoto kuonyesha vipaji vyao

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Maestro Africa Solutions Ltd, kwa kushirikiana na Peak Performance Company Ltd na Rehoboth Organization na The Ark Africa wameandaa Maonyesho Maalum ya Baby Market yatakayofanyika tarehe 28 mwezi huu katika Viwanja vya Sayansi, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Maestro Africa…

Read More

Bajeti katika mtazamo wa kijinsia

Dar es Salaam. Wanaharakati wa kutetea masuala ya kijinsia wamesema bajeti iliyowasilishwa bado haijazingatia mtazamo wa kijinsia huku wakisema ukuaji wa uchumi unaosemwa haundani na hali ilivyo mtaani. Wanaharakati hao wametoa maoni hayo  katika mdahalo wa ‘Kijiwe cha Kahawa’ kujadili Bajeti ya Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa mtazamo wa kijinsia, unaandaliwa na Mtandao…

Read More

Bodaboda wanavyoitazama Bajeti ya Serikali, watoa angalizo

Dar es Salaam. Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji wamepongeza hatua ya kupunguzwa gharama za leseni za pikipiki za biashara huku wakitaka mabadiliko katika upatikanaji wake. Pendekezo  la kupunguzwa kwa gharama hizo lilitolewa jana Juni 12, 2025 bungeni Dodoma na Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba, wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha…

Read More

Selfie’ ya mwisho familia watu watano kabla ajali

Ahmedabad, India. Akitabasamu mbele ya kamera, hii ndiyo ‘selfiE’ ya mwisho aliyopiga Daktari Prateek Joshi akiwa na mkewe na watoto wao muda mfupi kabla ya wote kufariki dunia kwenye ajali  ya ndege ya Air India. Dk Joshi, mtaalamu wa mionzi (radiologist) aliyekuwa akifanya kazi katika Hospitali ya Royal Derby nchini Uingereza, alikuwa amesafiri kwenda India siku…

Read More

Burundi yaanza na ushindi CECAFA, yaichapa Uganda

TIMU ya taifa ya Burundi imeanza vyema kampeni za kutafuta ubingwa wa mashindano ya CECAFA Senior Women Championship 2025 kwa kuichapa Uganda bao 1-0. Mashindano hayo yanayopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamanzi yameanza leo Juni 13 na kutarajiwa kufikia kikomo Juni 25. Bao la Esperancia Habonemana dakika ya 75 lilifanya mchezo huo kwenda dakika 90…

Read More

JP Magufuli sio daraja tu, ni ufunguo wa kiuchumi

Moja ya alama kuu za juhudi za Serikali katika kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi, ni Daraja la JP Magufuli, ambalo awali liliitwa Kigongo Busisi. Ujenzi wa daraja hili umekamilika kwa asilimia 100 na sasa linakwenda kuzinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 19, 2025. Mabadiliko ya jina la daraja hilo lenye urefu wa kilomita 3.2…

Read More