Mzigo wa Kariakoo Dabi umerudi
MZIGO umerudi. Ndivyo unavyoweza kusema kwa ishu ya Dabi baada ya sasa kutangazwa itapigwa Juni 25 na si keshokutwa Jumapili kama ilivyokuwa awali. Vigogo wa Simba na Yanga waliitwa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma kuzungumza na Rais, Samia Suluhu Hassan na muda mchache Bodi ya Ligi ilitoa taarifa kwamba mechi hiyo itapigwa Juni 25, tofauti…