Tanzania Prisons washtuka, wajipanga upya
WAKATI Tanzania Prisons ikijiandaa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, nahodha wa timu hiyo, Jumanne Elfadhil ametahadharisha wenzake kikosini kuwa tayari na historia yao na wapinzani hao ni ngumu wanapokutana uwanjani. Prisons inatarajia kuwa uwanjani Juni 18 kuikaribisha vinara wa Ligi Kuu na rekodi inaonyesha timu hizo zilipokutana katika mechi tano nyuma, Yanga…