
Makada CCM waendelea kujitosa ubunge, ushindani waongezeka majimboni
Dar/Mikoani. Mchakato wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge na udiwani katika Chama cha Mapinduzi (CCM) umeingia siku ya pili leo Juni 29, 2025 huku makada wengine wakiendelea kujitokeza kuchukua fomu. Shughuli hiyo ilianza jana Juni 28, 2025 ambapo makada mbalimbali wa chama hicho walijitokeza kuchukua fomu katika ofisi za…