Nusu Fainali ya COSAFA Kupigwa leo – Global Publishers

Last updated Jun 13, 2025 Michuano ya Kombe la COSAFA inaingia katika hatua ya nusu fainali leo, ambapo mechi mbili kali zinatarajiwa kuchezwa. Angola itavaana na Madagascar katika mchezo wa kwanza utakaopigwa saa 10:00 jioni, huku mwenyeji wa mashindano haya, Afrika Kusini, atashuka dimbani dhidi ya Comoro saa 1:00 usiku. Hii itakua nafasi adhimu…

Read More

Fountain Gate hesabu zipo kwa Wagosi

NI kufa au kupona. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Fountain Gate itakapokuwa ugenini kukabiliana na Coastal Union, Juni 18 katika mechi ya Ligi Kuu Bara ikiwa inahitaji ushindi wa ina yoyote ili kuepuka janga la kucheza play-off ya kushuka daraja. Fountain ipo nafasi ya 14 juu ya timu mbili zilizoshuka daraja mapema KenGold na Kagera Sugar…

Read More

Kisa Karia, Manara ahojiwa Polisi, aachiwa

OFISA Habari wa zamani wa Simba na Yanga, Haji Manara ameshtakiwa polisi na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia. Leo Ijumaa, Manara aliitwa na Jeshi la Polisi Tanzania kisha kuhojiwa kwa tuhuma za kumdhalilisha Karia mtandaoni. Manara ambaye ni mwanachama wa Yanga, inaelezwa ametoa maelezo kwa maandishi katika Kituo cha Polisi cha…

Read More

Imani potofu zinavyosumbua wagonjwa wa kisukari

Dar es Salaam. Kisukari ni ugonjwa sugu unaohitaji uelewa wa kina na usimamizi wa kila siku ili kumwezesha mgonjwa kuishi maisha ya kawaida. Hata hivyo, katika jamii nyingi, hususan vijijini na maeneo yenye uelewa mdogo wa kiafya, kuna imani potofu zinazozuia wagonjwa kupata matibabu sahihi au kufuata ushauri wa wataalamu wa afya. Imani hizi zimekuwa…

Read More

Israel yashambulia Iran, yajiandaa kwa hatua za kisasi

Tel Aviv, Israel. Jeshi la Israel limetekeleza mashambulizi kadhaa ya anga ndani ya Iran na kuwaua makamanda wawili waandamizi wa jeshi la Iran, kwa mujibu wa taarifa kutoka jeshi la Israel na vyombo vya habari vya taifa hilo la Kiislamu. Katika mkutano na waandishi wa habari, ofisa mwandamizi wa jeshi la Israel amesema kuwa mashambulizi…

Read More