Usichokijua unapochangia damu | Mwananchi
Mwanza. ‘Bila mafuta, gari haliwezi kuendeshwa, vivyo hivyo bila damu, mwili hauwezi kufanya kazi’ ndivyo unavyoweza kuelezea umuhimu wa damu katika mwili na maisha ya mwanadamu. Watalaamu wa afya wanasema bila damu hakuna usafirishaji wa hewa ya oksijeni na virutubisho mwilini wala kuratibu wa mfumo wa kinga mwilini, ili kupambana na maambukizi mbalimbali ya magonjwa…