Mtaalamu wa Video Tabora United asepa
UONGOZI wa Tabora United umeachana rasmi na aliyekuwa mtaalamu wa utathimini wa viwango vya wachezaji na mchambuzi wa video ‘Video Analyst’, Brian David Aswani raia wa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuamua kuondoka mwenyewe kikosini humo. Licha ya uongozi wa Tabora kutotaka kuweka wazi juu ya suala hilo, ila Mwanaspoti linatambua mtaalamu huyo ameondoka kwa kile…