SMZ yapandisha ushuru wa mafuta, masheha waongezwa mshahara
Unguja. Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 imependekeza kuongeza viwango vya ushuru katika bidhaa mbalimbali, zikiwemo dizeli, petroli, pombe kali, mvinyo na shisha, hatua inayotarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Sh38.27 bilioni. Mbali na mapendekezo hayo ya nyongeza ya ushuru, bajeti hiyo pia imejumuisha ongezeko la…