UCHUMI WA TANZANIA WAKUA, SERIKALI KUENDELEZA MIRADI MIKUBWA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, leo Juni 12, 2025 amewasilisha Hotuba ya hali ya uchumi nchini kwa mwaka 2024 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2025/26, Bungeni jijini Dodoma. Akiwasilisha hotuba kuhusu Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26, Prof. Mkumbo amesisitiza kuwa Serikali kwa…