Vipaumbele bajeti 2025/26 | Mwananchi
Dar es Salaam. Kugharamia Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu na maandalizi ya viwanja kwa ajili ya michuano ya Afcon 2027, ni miongoni mwa vipaumbele vilivyowekwa na Serikali katika bajeti yake kuu ya mwaka wa fedha 2025/26. Sambamba na vipaumbele hivyo, vingine vitakavyotekelezwa na bajeti hiyo ni utekelezaji na uendelezaji wa miradi ya kimkakati, kuimarisha…