Viongozi duniani watuma salamu ajali ya ndege iliyoua abiria 242
Mamlaka nchini India zimeilieleza Shirika la Habari la Associated Press kuwa hakuna aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Shirika la Ndege la Air India iliyoanguka eneo la makazi la Meghani Nagar nchini India ikiwa safarini kuelekea jijini London nchini Uingereza, huku viongozi mbalimbali duniani wakituma salamu za rambirambi. Ndege hiyo iliyokuwa na jumla ya abiria…